"MWAKA WA PILI AU WA TATU?"
Mvurugano washuhudiwa kati ya wanafunzi wa moi bewa kuu mwaka wa pili na wa tatu.. kila mmoja hataki kuongozwa na mwenziwe..
MWAKA WA TATU: "watoto watwambie nini??? na hatuwezi tawaliwa na wadogo zetu tuliowashuhudia wakiingia moi kama freshaaz.."
MWAKA WA PILI: "laziama sisi pia tuwakilishwe kwenye muungano wa wanafunzi ili tufufue MUSO na pia kiangazia maswala yanayowakumba wanafunzi wa mwaka wa pili na wote kwa jumla... sisi pia twaweza.
YUPI NI YUPI AAMINIWEE KAMA KIONGOZI MWAFAKA ATAKAE CHUKUA NYADHIFA YA MWENYEKITI WA MUUNGANO WA WANAFUNZI CHUONI MOI BEWA KUU???