Chuo kikuu
cha moi kimeonyesha umahiri wake katika maonyesho ya kilimo mwaka huu mjini Eldoret
baada ya kuzoa jumla ya vikombe vitano.
Chuo hiki kimeorodheshwa
kuwa chuo bora katika masomo ya kiwango cha juu, chuo bora katika uhandisi,
chuo bora katika utafiti, chuo bora kitechnolojia na chuo bora kilichokuwa na chandarua
chema katika maonyesho hayo.
Aidha, chuo kiliorodheshwa
kuwa chuo cha pili bora baada ya chuo kuku cha Eldoret katika kuekeza technologia
mpya.
Rais wa taifa
Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta anatarajiwa kuhutubia wananchi katika maonyesho
hayo hii leo
No comments:
Post a Comment